Novemba hii, watu kutoka kote duniani wanaungana kusherehekea Neno la Mungu wakati wa Mwezi wa Biblia Duniani.
Jiunge na vuguvugu la kimataifa la Biblia kupitia Changamoto ya Biblia ya Siku 30.
Iwe ni hitaji la kupunguza wasiwasi, kupunguza upweke, au kuwa na ujasiri zaidi wa kushiriki imani yako, tafiti zinaonyesha kwamba kuwa thabiti katika Neno la Mungu hubadilisha kila kitu.
Neno la Mungu linakubadilishaje?
Kuanzia Novemba, tumia Programu ya Biblia kwa siku 30 mfululizo, nawe utapata Beji maalum ya Mwezi wa Biblia Duniani.
Chapisho hili linapatikana pia katika:


