Neno la Mungu hubadilisha maisha. Nalo linaweza kubadilisha yako.

Sherehekea Mwezi wa Biblia Duniani

Novemba hii, watu kutoka kote duniani wanaungana kusherehekea Neno la Mungu wakati wa Mwezi wa Biblia Duniani. 

Jiunge na vuguvugu la kimataifa la Biblia kupitia Changamoto ya Biblia ya Siku 30. 

Jiunge na Changamoto

Iwe ni hitaji la kupunguza wasiwasi, kupunguza upweke, au kuwa na ujasiri zaidi wa kushiriki imani yako, tafiti zinaonyesha kwamba kuwa thabiti katika Neno la Mungu hubadilisha kila kitu. 

Neno la Mungu linakubadilishaje?    

Kuanzia Novemba, tumia Programu ya Biblia kwa siku 30 mfululizo, nawe utapata Beji maalum ya Mwezi wa Biblia Duniani.

Neno la Mungu hubadilisha maisha. Nalo linaweza kubadilisha yako.

Share this post:

Pata programu ya bure ya Bibilia

Pata Biblilia bure

kwenye simu yako,
tarakilishi na tablet


Pata programu ya bure ya Bibilia

Ni ngumu kukaa ukizingatia Mungu na Neno Lake. Ndio maana app ya bure ya Bibilia ya YouVersion inakupa nyenzo za kutafuta moyo wa Mungu kila siku:  sikiliza biblia za sauti, tayarisha Maombi, Jifunze na Marafiki, chunguza matoleo ya Bibilia 2,000, na mengine zaidi. Sasa iko kwenye vifaa zaidi ya milioni 400 ulimwenguni!

Pata programu ya bure ya Bibilia

Soma Biblia mtandaoni

Share this post:

Sasa watoto wako wanaweza kupata apu ya Biblia ya watoto katika lugha ya Kiswahili!

Apu ya Biblia ya Watoto

Leo, pamoja na washirika wenzetu kutoka OneHope, tunafurahia kutangaza uzinduzi wa apu ya Biblia ya watoto kwa lugha ya Kiswahili. Sasa, kuliko wakati mwengine wowote watoto wana nafasi ya kufurahia Biblia yao wenyewe.

Kubadili kati ya lugha ni rahisi, katika mipangilio ya apu:

  1. Hakikisha umesasisha apu yako hadi toleo jipya kabisa.
  2. Fungua apu na donoa ikoni ya gear (Sasa watoto wako wanaweza kupata apu ya Biblia ya watoto katika lugha ya Kiswahili!) kufungua Settings.
  3. Bonyeza Lugha na uchague unayotaka.

Sauti sasa itaanza kucheza kwa lugha hiyo, na maandishi yoyote yataonekana katika lugha hiyo, pia!

Tafadhali tusaidie kusherehekea habari hii kuu!

FacebookShiriki kwenye Facebook
TwitterShirikisha marafiki kwa Twitter
EmailShirikisha marafiki kupitia barua pepe


Sasa watoto wako wanaweza kupata apu ya Biblia ya watoto katika lugha ya Kiswahili!

Kuhusu Apu ya Biblia ya Watoto

Imekuzwa kwa ushirikiano na OneHope, Apu ya Biblia ya watoto ni ya kutoka YouVersion, waundaji wa Apu ya Biblia. Iliyoundwa ili kuwapa watoto uzoefu wa Biblia uliojaa furaha yote, Apu ya Biblia kwa Watoto imepakuliwa kwenye simu za rununu zaidi ya milioni 22 kwenye vifaa vya Apple, Android, na Kindle, na daima ni bure kabisa. Watoto kutoka duniani kote sasa wanafurahia apu ya Biblia ya Watoto, katika lugha 37 – sasa ikiwa ni pamoja na Kiswahili!

App Store Google Play Amazon
Share this post: