Biblia Iko Kila Mahali

Biblia Iko Kila Mahali

Times Square. Piccadilly Circus. Osaka.

Mwezi huu, tunasherehekea Neno la Mungu kwa njia ya kusisimua! Haya hapa ni baadhi ya maeneo ambako Biblia inasherehekewa leo…

Biblia Iko Kila Mahali
Biblia Iko Kila Mahali
Biblia Iko Kila Mahali

Kuiangazia Biblia katika maeneo haya maarufu kunatoa fursa yenye nguvu ya kuwatia moyo watu warudi kwenye Neno la Mungu au walichunguze kwa mara ya kwanza.

Sherehe hii inafanyika duniani kote, na wewe unaweza kuwa sehemu yake.

Kila mara unapofungua Biblia, unaalika kweli ya Neno la Mungu ikubadilishe.

Fungua Programu

Share this post:

Chapisho hili linapatikana pia katika: Kiingereza Kiafrikana Kiindoneshia Kijerumani Kihispania Kifilipino (Kitagalogi) Kifaransa Kitaliano Kiholanzi Kireno Kiromania Kirusi Kijapani Luga ya China (Rahisishwa) Luga ya China (Kihasili) Kikorea Kiarabu Kibelarusi Kibangali Kibulgaria Kideni Kifini Kigiriki Kiebrania Kihindi Kihangaria Kimalayi Kimongolia Kinepali Kinorwiji Kifarsi Kipoli Kireno (Ureno) Kislovaki Kiswedi Kitamili Kitelugu Kithai Kituruki Kiukreni Kiurdu Kivietinamu Kizulu Kicheki Kikhmer Kimalei Kihispania (Uhispania) Barma ya Myanmar (Unicode) Kilithuania Kimasedonia Barma ya Myanmar (Zawgyi) Mserbia Armenian Kiaislandi Kikroeshia Kialbania Kiweli Kikatalani Kilatvia Kikreoli cha Haiti Kishona Inakuja hivi karibuni Kixhosa Kiyoruba