Sasa watoto wako wanaweza kupata apu ya Biblia ya watoto katika lugha ya Kiswahili!

Apu ya Biblia ya Watoto

Leo, pamoja na washirika wenzetu kutoka OneHope, tunafurahia kutangaza uzinduzi wa apu ya Biblia ya watoto kwa lugha ya Kiswahili. Sasa, kuliko wakati mwengine wowote watoto wana nafasi ya kufurahia Biblia yao wenyewe.

Kubadili kati ya lugha ni rahisi, katika mipangilio ya apu:

  1. Hakikisha umesasisha apu yako hadi toleo jipya kabisa.
  2. Fungua apu na donoa ikoni ya gear () kufungua Settings.
  3. Bonyeza Lugha na uchague unayotaka.

Sauti sasa itaanza kucheza kwa lugha hiyo, na maandishi yoyote yataonekana katika lugha hiyo, pia!

Tafadhali tusaidie kusherehekea habari hii kuu!

FacebookShiriki kwenye Facebook
TwitterShirikisha marafiki kwa Twitter
EmailShirikisha marafiki kupitia barua pepe


Kuhusu Apu ya Biblia ya Watoto

Imekuzwa kwa ushirikiano na OneHope, Apu ya Biblia ya watoto ni ya kutoka YouVersion, waundaji wa Apu ya Biblia. Iliyoundwa ili kuwapa watoto uzoefu wa Biblia uliojaa furaha yote, Apu ya Biblia kwa Watoto imepakuliwa kwenye simu za rununu zaidi ya milioni 22 kwenye vifaa vya Apple, Android, na Kindle, na daima ni bure kabisa. Watoto kutoka duniani kote sasa wanafurahia apu ya Biblia ya Watoto, katika lugha 37 – sasa ikiwa ni pamoja na Kiswahili!

App Store Google Play Amazon