Watoto wanalipenda Neno la Mungu…

Watoto wanalipenda Neno la Mungu…

Joshua alipohudhuria programu ya Biblia kwa watoto, aligundua Bible App for Kids. Hapo ndipo kila kitu kilibadilika.

Akiwa amezaliwa kipofu, alijifunza kwamba angeweza tu kusikiliza Neno la Mungu, na haraka akaipenda Biblia.

Alipoona furaha iliyomgeuza mwanawe, baba yake alienda kanisani na kumkabidhi Kristo maisha yake siku hiyo hiyo. Muda mfupi baadaye, familia yao yote ilimpokea Yesu.

Sasa, Joshua na wazazi wake wanahudumu katika kanisa lao la eneo hilo, wanasoma Biblia pamoja kila siku, na wanapenda kushiriki Programu ya Biblia kwa Watoto na wengine.

Je, unataka watoto katika maisha yako wapende Neno la Mungu? Kwa Mwezi wa Biblia Duniani, angalia Programu ya Biblia kwa Watoto, na uwafahamishe watoto Maandiko Matakatifu kupitia hadithi shirikishi za Biblia. ⬇️

Fungua Apu ya Biblia ya Watoto

Share this post:

Chapisho hili linapatikana pia katika: Kiingereza Kiindoneshia Kijerumani Kihispania Kifilipino (Kitagalogi) Kifaransa Kitaliano Kiholanzi Kireno Kiromania Kirusi Kijapani Luga ya China (Rahisishwa) Luga ya China (Kihasili) Kikorea Kiarabu Kibelarusi Kibangali Kibulgaria Kideni Kifini Kigiriki Kiebrania Kihindi Kihangaria Kimalayi Kimongolia Kinepali Kinorwiji Kifarsi Kipoli Kireno (Ureno) Kislovaki Kiswedi Kitamili Kitelugu Kithai Kituruki Kiukreni Kiurdu Kivietinamu Kizulu Kicheki Kikhmer Kimalei Kihispania (Uhispania) Barma ya Myanmar (Unicode) Kilithuania Kimasedonia Mserbia Armenian Kiaislandi Kikroeshia Kiweli Kikatalani Kilatvia Kikreoli cha Haiti Kishona Inakuja hivi karibuni Kixhosa Kiyoruba