Asante kwa kushiriki katika Mwezi wa Biblia Ulimwenguni!

Asante kwa kushiriki katika Mwezi wa Biblia Ulimwenguni!

Ulijitolea kusoma Neno la Mungu kwa siku 30 … na hukufanya hivyo peke yako.

Ulijiunga na zaidi ya watu 3,000,000 waliojihusisha na Biblia mwezi huu wa Novemba.

Mmoja wa watu hao uliojiunga nao ni Pamela.

Alipokuwa akikua, Pamela alikuwa na maumivu mengi, vidonda vya moyo, na maswali kuhusu yeye ni nani. Hapo ndipo alipoigeukia Biblia na kupata Mpango kuhusu utambulisho.

“Neno la Mungu lilinionyesha kwamba utambulisho wangu nilikuwa tayari nimepewa na Yesu. Ni kwamba tu nilikuwa bado sijaugundua. Ukweli huo ulibadilisha kila kitu.”

Pamela, MEKSIKO

Mwezi wa Biblia Duniani huenda unakaribia kumalizika, lakini Neno la Mungu si la msimu mmoja tu. Limekusudiwa kuwa sehemu ya maisha yako ya kila siku unaporuhusu Kweli ikubadilishe, kama vile ilivyobadilisha maisha ya Pamela.

Kwa hiyo endelea! Endelea kuungana na Mungu kupitia Neno Lake, na uone atakachofanya kinachofuata…

Fungua hiyo Apu ya Biblia

Share this post:

Chapisho hili linapatikana pia katika: Kiingereza Kiafrikana Kiindoneshia Kijerumani Kihispania Kifilipino (Kitagalogi) Kifaransa Kitaliano Kiholanzi Kireno Kiromania Kirusi Kijapani Luga ya China (Rahisishwa) Luga ya China (Kihasili) Kikorea Kiarabu Kibelarusi Kibangali Kibulgaria Kideni Kifini Kigiriki Kiebrania Kihindi Kihangaria Kimalayi Kimongolia Kinepali Kinorwiji Kifarsi Kipoli Kireno (Ureno) Kislovaki Kiswedi Kitamili Kitelugu Kithai Kituruki Kiukreni Kiurdu Kivietinamu Kizulu Kicheki Kikhmer Kimalei Kihispania (Uhispania) Barma ya Myanmar (Unicode) Kilithuania Kimasedonia Barma ya Myanmar (Zawgyi) Mserbia Armenian Kiaislandi Kikroeshia Kialbania Kiweli Kikatalani Kilatvia Kikreoli cha Haiti Kishona Inakuja hivi karibuni Kixhosa Kiyoruba