Hivi sasa, watu duniani kote wanasherehekea Neno la Mungu kupitia Changamoto ya Biblia ya Siku 30. Na bado hujachelewa kuwa sehemu yake!
Iwe unahitaji kuhisi amani zaidi, tumaini zaidi, au ujasiri zaidi, kuwa thabiti katika Neno la Mungu hubadilisha kila kitu.
Fikiria Mungu angeweza kufanya nini kama ungejitolea kusoma Neno Lake kila siku.
Tumia Programu yako ya Biblia kwa siku 30 mfululizo mwezi huu ili kupata Beji hii maalum ya Mwezi wa Biblia Duniani.

Chapisho hili linapatikana pia katika:

