Mwezi wa Biblia wa Kimataifa unakaribia kufika!

Email-Header-starts-tomorrow

Sherehekea Mwezi wa Biblia Duniani

Kesho, watu kutoka kote duniani wanakutana pamoja kusherehekea Neno la Mungu kwa Changamoto ya Biblia ya Siku 30. Na wewe unaweza kuwa sehemu yake!

Usikose Changamoto Hii

Iwe ni kuhisi wasiwasi mdogo, upweke mdogo, au ujasiri zaidi wa kushiriki imani yako, kudumu katika Neno la Mungu hubadilisha kila kitu—ikiwemo wewe.

Kuanzia Novemba, tumia Programu yako ya Biblia kwa siku 30 mfululizo, na upate Beji maalum ya Mwezi wa Biblia Duniani.

Share this post:

Mwezi wa Biblia Duniani unaanza sasa, na bado unaweza kujiunga!

Mwezi wa Biblia Ulimwenguni unaanza sasa!

Sherehekea Mwezi wa Biblia Duniani

Hivi sasa, watu duniani kote wanasherehekea Neno la Mungu kupitia Changamoto ya Biblia ya Siku 30. Na bado hujachelewa kuwa sehemu yake!

Jiunge na Changamoto

Iwe unahitaji kuhisi amani zaidi, tumaini zaidi, au ujasiri zaidi, kuwa thabiti katika Neno la Mungu hubadilisha kila kitu.

Fikiria Mungu angeweza kufanya nini kama ungejitolea kusoma Neno Lake kila siku.

Tumia Programu yako ya Biblia kwa siku 30 mfululizo mwezi huu ili kupata Beji hii maalum ya Mwezi wa Biblia Duniani.

Mwezi wa Biblia Duniani unaanza sasa, na bado unaweza kujiunga!

Share this post:

Mwezi wa Biblia Ulimwenguni unaanza sasa!

Mwezi wa Biblia Ulimwenguni unaanza sasa!

Sherehekea Mwezi wa Biblia Duniani

Leo ni mwanzo wa Mwezi wa Biblia Duniani! Kwa siku 30 zijazo, watu duniani kote watakusanyika pamoja kutumia muda katika Neno la Mungu.

Unajiuliza uanzie wapi? Angalia Mipango hii ili kuanza safari yako ya Mwezi wa Biblia Duniani!

Gundua Mipango Zaidi

Share this post:

Neno la Mungu hubadilisha maisha. Nalo linaweza kubadilisha yako.

Sherehekea Mwezi wa Biblia Duniani

Novemba hii, watu kutoka kote duniani wanaungana kusherehekea Neno la Mungu wakati wa Mwezi wa Biblia Duniani. 

Jiunge na vuguvugu la kimataifa la Biblia kupitia Changamoto ya Biblia ya Siku 30. 

Jiunge na Changamoto

Iwe ni hitaji la kupunguza wasiwasi, kupunguza upweke, au kuwa na ujasiri zaidi wa kushiriki imani yako, tafiti zinaonyesha kwamba kuwa thabiti katika Neno la Mungu hubadilisha kila kitu. 

Neno la Mungu linakubadilishaje?    

Kuanzia Novemba, tumia Programu ya Biblia kwa siku 30 mfululizo, nawe utapata Beji maalum ya Mwezi wa Biblia Duniani.

Neno la Mungu hubadilisha maisha. Nalo linaweza kubadilisha yako.

Share this post: