App ya Biblia ya Watoto sasa inalinganisha vyombo vyote!

Maelezo kayika App ya Biblia ya Watoto

“Hey! Nyota zangu zote ziko!”

Mbele, tuzo za watoto wako zimehifadhiwa kwenye chombo ambapo walizopata. Ikiwa walipata chombo mpya, ao ikiwa uliwaruhusia kutumia App ya Biblia ya Watoto kwenye simu ingine, walipaswa kuanza upya mwanzo. Sivyo tena.

Sasa maendeleo imehifadhiwa kwa kila mmoja wa watoto wako, imeunganishwa kwenye vyombo vyako vyote!

Kama mzazi au mlezi, usasisha wa sasa wa App ya Biblia ya Watoto inakuwezesha kuingia kwa kutumia daftari ya YouVersion ilipo yako na kuanzisha avatari kipekee kwa kila mtoto. Kuongeza maelezo ni haraka na rahisi. Watoto wako wanaweza hata kuchagua avatari na rangi zao.

Pata App ilisasaishwa

Chapisho hili linapatikana pia katika: Kiingereza Kiafrikana Kiindoneshia Kijerumani Kihispania Kifilipino (Kitagalogi) Kifaransa Kitaliano Kiholanzi Kireno Kiromania Kirusi Kijapani Luga ya China (Rahisishwa) Luga ya China (Kihasili) Kikorea Kiarabu Kibelarusi Kibulgaria Kifini Kigiriki Kiebrania Kihindi Kihangaria Kimalayi Kimongolia Kinorwiji Kifarsi Kipoli Kireno (Ureno) Kiswedi Kitamili Kithai Kituruki Kiukreni Kivietinamu Kizulu