Posted on 2019-10-012021-10-01Mipango ya usomaji – Oktoba 2019 Ufunuo siku 11 Mpango rahisi kama huu utakupeleka ndani ya kitabu cha Ufunuo na itakua vizuri kwa funzo ya upekee ama ya kundi. Pumua shauku ya kiroho ndani ya ndoa yako siku 7 Ikichukuliwa kutoka kitabu chake kipya “Maisha marefu ya upendo”, Gary Thomas anaongea kuhusu madhumuni ya milele ndani ya ndoa. Jufunze viungu vya maana kwa kusaidia kubeba ndoa yako ndani ya mahusiano yakujaa na mambo mapya, ikienezwa na maisha kwa wengine.
Posted on 2019-09-012021-10-01Mipango ya usomaji – Septemba 2019 Imani siku 12 Je, kuona ni kuamini? Au kuamini ni kuona? Hayo ni maswali ya imani. Mpango huu unatoa masomo ya kina kuhusu imani—kutoka kwa hadithi za Agano la Kale kuhusu watu halisia ambao walionyesha imani jasiri katika matukio yasiowezekana kwa mafundisho ya Yesu juu ya somo. Kupitia kwa kusoma kwako, utatiwa moyo ili kudumisha uhusiano wako na Mungu na uwe mfuasi mwenye imani zaidi wa Yesu. 2 Wakorintho wiki 1 Mpango huu rahisi uta kuchukua ndani ya kitabu cha 2 Wakorintho na ni ya muhimu kwa mafundisho ya upekee ama ya kundi. Muda wa kupumua siku 5 Unahisi kana kwamba hufurahi chochote kwa sababu unajaribu kufanya kila kitu? Unafanya mambo mengi kwa wakati mmoja katika maisha yako na wapendwa… Wewe ni mfanisi. Lakini umechoka tiki. Unahitaji tu muda kidogo kupumua. Mungu anakupa fursa ya kubadilishana maisha yako yenye haraka na amani yake. Mpango huu utakuonyesha jinsi ya kufanya hivyo.
Posted on 2019-08-012021-10-01Mipango ya usomaji – Agosti 2019 1 Wakorintho siku 8 Mpango huu rahisi utakuchukua ndani ya kitabu cha 1 Wakorintho na itakua ya muhimu kwa mafundisho ya upekee ama ya kundi. Oswald Chambers: Amani – Maisha kwenye Roho siku 30 Amani: Maisha ya Roho ni hazina ya msukumo ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, mwandishi mpendwa ulimwenguni wa ibada na mwandishi wa My Utmost for His Highest. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi wa umuhimu wa amani ya Mungu kwenye maisha yako.
Posted on 2019-07-012021-10-01Mipango ya usomaji – Julai 2019 Wagalatia siku 3 Mpango huu rahisi utakuchukua ndani ya kitabu cha Wagalatia na ni ya muhimu kwa mafundisho ya upekee ama ya kundi. Kutumia muda wako kwa ajili ya Mungu siku 4 Ibada ya siku nne kutoka kwa R.C. Sproul, jinsi ya kutumia wakati wako kwa ajili ya Mungu. Kila Ibada inakuhimiza kuishi katika uwepo wa Mungu, chini ya mamlaka ya Mungu, kwa utukufu wa Mungu. Kubarikiwa siku 7 Unaishi vipi maisha yaliyo barikiwa? Naamini kila mtu anahamu na anatafuta jibu hili. Miongoni mwa wahusika mbalimbali katika Biblia, kuna mmoja hasa ambaye napenda. Jina lake halijatajwa, lakini anaishi kwa kanuni za Biblia. Huyu shujaa wangu wa Kibiblia ndiye mtu mwema aliyetajwa katika Zaburi 112.
Posted on 2019-06-012021-09-29Mipango ya usomaji – Juni 2019 Yakobo siku 3 Mpango rahisi kama huu utakupeleka ndani ya kitabu cha Yakobo na itakua vizuri kwa funzo ya upekee ama ya kundi. Kufuata Amani siku 7 Tearfund inatafuta uongozi wa Mungu ili iwe sauti ya nguvu juu ya amani, mahusiano kurudishwa, na upatanifu kati ya jumuiya mbalimbali katika dunia. Somo hili la siku 7 lina matendo ya kila siku ili urudishe mahusiano yako na wengine na uombee dunia tunayoishi. Somo hili linatumia hekima kutoka methali za Afrika kutusaidia kufunua amani ya kweli ya Mungu.