Posted on 2022-12-02Mipango ya usomaji – Desemba 2022 Tusome Biblia Pamoja ( Desemba) siku 31 Sehemu ya 12 katika mfululizo wenye sehemu 12, mpango huu unaziongoza jamii kupitia Biblia youte pamoja katika siku 365 Wakaribishe wengine kujumuika nawe kila mara unapoanza sehumu mpya kila mwezi. Mfululizo huu unaendana vyema na Biblia ya kusikiliza – sikiza kwa chini ya dakika 20 kwa siku. Kila sehemu inajumuisha sura kutoka agano la kale na agano jipya, pamoja na mgawanyiko wa Zaburi Sehemu ya 12 inavijumuisha vitabu vya Isaya, Mika, Petro wa Kwanza, Petro wa Pili, Yohana wa Kwanza, Yohana wa Pili, Yohana wa Tatu, Yohana na Yuda Luka siku 12 Mpango huu rahisi utakuongoza ndani ya kitabu cha Injili iliyo andikwa na Marko kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Posted on 2022-10-27Mipango ya usomaji – Novemba 2022 Tuisome Biblia Pamoja (November) siku 30 Sehemu 11 katika mfululizo wenye sehemu 12, mpango huu unazielekeza jamii kupitia Biblia nzima katika siku 365 Wakaribishe wengine kujumuika nawe kila mara unapoanza sehumu mpya kila mwezi. Mfululizo huu unaendana vyema na Biblia ya kusikiliza – sikiza kwa chini ya dakika 20 kwa siku. Kila sehemu inajumuisha sura kutoka agano la kale na agano jipya, pamoja na mgawanyiko wa Zaburi Sehemu ya 11 inajumuisha vitabu vya Wimbo Ulio Bora, Ezekieli, Hosea na Ufunuo wa Yohana.
Posted on 2022-09-26Mipango ya usomaji – Oktoba 2022 Tusome Biblia Pamoja ( Octoba) siku 31 Sehemu ya 10 kati ya mfululizo wenye sehemu 12 katika mpango huu unaziongoza jamii kuipitia Biblia nzima katika siku 365. Wakaribishe wengine kujumuika nawe kila mara unapoanza sehumu mpya kila mwezi. Mfululizo huu unaendana vyema na Biblia ya kusikiliza – sikiza kwa chini ya dakika 20 kwa siku. Kila sehemu inajumuisha sura kutoka agano la kale na agano jipya, pamoja na mgawanyiko wa Zaburi Sehemu ya 10 inavihusisha vitabu vya Mhubiri, Yona, Yeremia na Maombolezi Zaburi siku 31 Usomaji wa kitabu cha Zaburi niya muhimu kwa kila muda ya haja. Wakati unapitia wakati mgumu, kitabu cha Zaburi kinaweza kua kama faraja na kuweka moyo. Naweza Kweli Kushinda Dhambi na Majaribu? siku 5 Umewahi kujiuliza, “Mbona bado napambana na dhambi hiyo?” Hata mtume Paulo alisema hivyo katika Warumi 7:15: “ Sifanyi ninachotaka, lakini nafanya kile ninachochukia.” Je, tunazuiaje dhambi kusimamisha maisha yetu ya kiroho? Je, hata inawezekana? Hebu tujadili dhambi, majaribu, Shetani, na, kwa shukrani, upendo wa Mungu. Kurejesha Furaha Yako siku 5 Ikiwa unataka furaha katika maisha yako, unapaswa kupata usawa katika ratiba yako. Mchungaji Rick anashiriki jinsi unavyoweza kurekebisha mchango wako na matokeo yako ili kutoa na kupokea kwako kukusaidia kurejesha furaha yako, si kuipoteza.
Posted on 2022-08-30Mipango ya usomaji – Agosti 2022 Tusome Biblia Pamoja (Septemba) siku 30 Sehemu ya 9 kati ya 12 kwenye mpangilio unaoongoza jamii kusoma Biblia nzima pamoja katika siku 365 Wakaribishe wengine kujumuika nawe kila mara unapoanza sehumu mpya kila mwezi. Mfululizo huu unaendana vyema na Biblia ya kusikiliza – sikiza kwa chini ya dakika 20 kwa siku. Kila sehemu inajumuisha sura kutoka agano la kale na agano jipya, pamoja na mgawanyiko wa Zaburi Sehemu ya 9 inajuisha vitabu vya Nehemia, Esta, Timotheo wa kwanza na wa pili, Yoeli, Amosi, Obadia, Nahumu, Habakuki, Sefania, Tito, Philomeno, Yakobo, Hagai Zekarai na Malaki
Posted on 2022-07-26Mipango ya usomaji – Agosti 2022 Tusome Biblia Pamoja (Agosti) siku 31 Sehemu ya 8 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia nzima pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya vyema na Biblia sikizi—sikiliza chini ya dakika 20 kila siku. Kila sehemu inajumuisha sura za Agano Jipya na Agano la Kale, na Zaburi ikiwa imetawanyika kote. Sehemu ya 8 inajumuisha kitabu cha Mambo ya Nyakati ya Kwanza na ya Pili, Wathesalonike wa kwanza na Pili na Ezra. Ushindi juu ya Kifo siku 7 Tunaambiwa kila mara, “Ni sehemu nyingine ya maisha tu,” lakini misemo inayorudiwarudiwa haiondoi uchungu wa kupoteza mpendwa. Jifunze kumkimbilia Mungu unapokumbwa na mojawapo wa changamoto kuu zaidi maishani. Bidii wiki 1 Jifunze jinsi Bibilia inavyo sema kuhusu ujasiri na kujiamini. “Bidii” mpango wa usomaji unaimarisha waamini pamoja na kumbukumbu ya jinsi walivyo ndani ya Kristo pia ndani ya ufalme wa Mungu. Wakati ambapo tukua wa Mungu, tuna uhuru ya ku msogelea mara moja. Soma tena — ama kwa mara ya kwanza — uhakika kama nafasi yako ndani ya jamaa ya Mungu imehakikishwa.