Posted on 2022-07-02Mipango ya usomaji – Julai 2022 Tusome Biblia Pamoja (Julai) siku 31 Sehemu ya 7 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia yote pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge nawe kila wakati unapoaza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya vyema na Biblia sikizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kila siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano la Kale na Agano Jipya, pamoja na Zaburi ikiwa imetawanyika kote kote. Sehemu ya saba inajumuisha vitabu vya Samueli wa Pili, Wafalme wa Kwanza na wa Pili na Mariko.
Posted on 2022-06-02Mipango ya usomaji – Juni 2022 Tusome Biblia Pamoja (Juni) siku 30 Sehemu ya 6 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu huongoza jamii kupitia Biblia yote pamoja kwa siku 365. Waalike wengine kujiunga kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya vyema na Biblia sikilizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kila siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano Jipya na la Kale, pamoja na Zaburi ikiwa imetawanyika kote kote. Sehemu ya 6 inajumuisha vitabu vya Waefeso, Wafilipi, Wakolosai, Yonah, Waamuzi, Ruthu na Samweli wa kwanza. Siku Sita Za Majina Ya Mungu siku 6 Kutoka kwenye majina mengi ya Mungu, ametufunulia vipengele vya tabia yake na asili. Zaidi ya Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, Biblia inaonesha zaidi ya majina 80 tofauti ya Mungu. Hapa kuna majina sita na maana zake kumsaidia mwamini kumkaribia Mungu Mmoja wa Kweli. Dondoo kutoka Experience the Power of God’s Names: A Life-Giving Devotional , ya Dr. Tony Evans. Eugene, OR: Harvest House Publishers, 2017. Ufunuo siku 11 Mpango rahisi kama huu utakupeleka ndani ya kitabu cha Ufunuo na itakua vizuri kwa funzo ya upekee ama ya kundi.
Posted on 2022-05-02Mipango ya usomaji – Mei 2022 Tusome Biblia Pamoja (Mei) siku 31 Sehemu ya 5 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu huongoza jamii kupitia Biblia yote kwa siku 365 pamoja. Waalike wengine kujiunga nawe kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya kazi vyema na Biblia sikilizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kwa siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano la Kale na Agano Jipya, pamoja na Zaburi ikiwa imetawanyika kote. Sehemu ya 5 inahusisha vitabu vya Wakorintho wa Kwanza na wa Pili, Kumbukumbu la Torati na Yoshua. 1, 2, & 3 Yohane siku 4 Mpango huu rahisi uta kuchukua ndani ya 1, 2, & 3 Yohane na niya muhimu kwa mafundisho ya upekee na ya kundi.
Posted on 2022-04-02Mipango ya usomaji – Aprili 2022 Tusome Biblia Pamoja (Aprili) siku 30 Sehemu ya 4 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia nzima pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya kazi vyema na Biblia sikilizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kila siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano Jipya na Agano la Kale, na Zaburi ikiwa imetawanyika kote. Sehemu ya 4 inajumuisha vitabu vya Mathayo na Yakubu. Matendo siku 14 Mpango huu rahisi utakuruhusu kujifunza kuhusu Mitume na kanisa la mwanzo. Ingia katika Kusudi siku 5 Kusudi langu ni nini? Ninatakiwa kufanya nini na maisha yangu? Mungu ana mpango gani kwa ajili yangu? Haya ndiyo maswali ambayo wengi wetu tunajiuliza katika maisha yetu. Tunakusudia kujibu baadhi ya maswali haya tunapofungua maana ya kuingia katika kusudi lako. Ungana na baadhi ya wanafunzi wetu wa C3 wanapotoa mwanga katika maudhui hii.
Posted on 2022-02-25Mipango ya usomaji – Machi 2022 2 Wakorintho wiki 1 Mpango huu rahisi uta kuchukua ndani ya kitabu cha 2 Wakorintho na ni ya muhimu kwa mafundisho ya upekee ama ya kundi. Tusome Biblia Pamoja (Machi) siku 31 Sehemu ya 3 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia yote pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge nawe kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya kazi vyema na Biblia sikilizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kila siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano la Kale na Agano Jipya, pamoja na Zaburi ikiwa imetawanyika kotekote. Sehemu ya 3 inajumuisha vitabu vya Hesabu, Methali, Warumi na Waebrania.