Posted on 2019-09-012021-10-01 by Mipango ya usomaji – Septemba 2019 Imani siku 12 Je, kuona ni kuamini? Au kuamini ni kuona? Hayo ni maswali ya imani. Mpango huu unatoa masomo ya kina kuhusu imani—kutoka kwa hadithi za Agano la Kale kuhusu watu halisia ambao walionyesha imani jasiri katika matukio yasiowezekana kwa mafundisho ya Yesu juu ya somo. Kupitia kwa kusoma kwako, utatiwa moyo ili kudumisha uhusiano wako na Mungu na uwe mfuasi mwenye imani zaidi wa Yesu. 2 Wakorintho wiki 1 Mpango huu rahisi uta kuchukua ndani ya kitabu cha 2 Wakorintho na ni ya muhimu kwa mafundisho ya upekee ama ya kundi. Muda wa kupumua siku 5 Unahisi kana kwamba hufurahi chochote kwa sababu unajaribu kufanya kila kitu? Unafanya mambo mengi kwa wakati mmoja katika maisha yako na wapendwa… Wewe ni mfanisi. Lakini umechoka tiki. Unahitaji tu muda kidogo kupumua. Mungu anakupa fursa ya kubadilishana maisha yako yenye haraka na amani yake. Mpango huu utakuonyesha jinsi ya kufanya hivyo.