Posted on 2020-02-012021-10-11 by Mipango ya usomaji – Februari 2020 Bila Utulivu siku 3 “Mioyo yetu haina utulivu mpaka ipate ulivu kwako.” Haijawahi kutokea kuwa wengi wetu tukakosa utulivu Agustine alielezea kwa hii sentesi maarufu. Lakini suluhisho kwa kukosa utulivu wa kweli kwetu ni nini? Huu mpango wa siku tatu utakuonesha, suluhisho kwa sehemu katika kuona vitendo vya kale vya sabato kwa lenzi tofauti ya “wewe” — Yesu ndie mwanzo wa amani. Mwongozo wa KiMungu siku 7 Kila siku tunafanya maamuzi ambayo yana unda hadithi ya maisha yetu. Maisha yako yangekuwaje kama ungekuwa bingwa wa kufanya maamuzi? Kwenye Mpango wa Biblia wa Mwongozo wa kimungu, mwandishi mzuri wa New York Times na Mchungaji Kiongozi, Craig Groeschel, anakutia moyo na kanuni saba kutoka kwenye kitabu chake cha Mwongozo wa Kimungu ili kukusaidia kupata busara ya Mungu kwa maamuzi yako kila siku. Gundua mwongozo wa kiroho unaohitaji ili kuishi hadithi ya maisha ya kumheshimu Mungu utakayopenda kuhadithia. Maombi siku 21 Kujifunza namns ya kuomba vizuri, kutoka kwa maombi ya mwaminifi pia na maneno ya Yesu Mwenyewe. Kupata faraja ya kuendelea kuomba Mungu kila siku, pamoja na kudumu na uvumilivu. Chunguza mifano tupu, maombi ya uhaki wa mwenyewe, ikipimwa na maombi ya kweli ya walio na moyo safi. Omba bila kuacha. Siku 40 ya kifungo siku 47 Muda wa kifungo inakuaka muda wa kufikiria kwa yale ambayo Kristo alitenda juu yetu msalabani. Zawadi hii ya kifahari tunaweza ifikiria miaka baada ya miaka, na itatuacha muda wote na mshangao na furaha. Kupita mpango huu, utapiti ndani ya injili muda baada ya muda, tuki tazama hatua za Yesu kwa wiki yake ya mwisho ya huduma duniani. Mpango huu ni siku 47 ya urefu, ila siku ya Jumapili saba ni siku za pumuziko kulingana na hasili.