Posted on 2021-07-172021-07-23 by BibleProject: Mihtasari ya Vitabu: Agano Jipya: Warumi Tafakari umbo na mada msingi za kila kitabu cha Biblia kupitia maelezo ya mfano. Muhtasari: Warumi 1-4 Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Warumi 1-4, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Warumi, Paulo anaonyesha jinsi Yesu alivyoanzisha familia mpya ya agano ya Abrahamu kupitia kifo chake, kufufuka kwake na kutumwa kwa Roho. Muhtasari: Warumi 5-16 Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Warumi 5-16, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Warumi, Paulo anaonyesha jinsi Yesu alivyoanzisha familia mpya ya agano ya Abrahamu kupitia kifo chake, kufufuka kwake na kutumwa kwa Roho.