Posted on 2022-01-27 by Mipango ya usomaji – Februari 2022 Tusome Biblia Pamoja (Februari) siku 28 Sehemu ya 2 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia nzima pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya vyema na Biblia sikizi—sikiliza chini ya dakika 20 kila siku. Kila sehemu inajumuisha sura kutoka kwa Agano Jipya na Agano la Kale, na Zaburi ikiwa imetawanyika kote. Sehemu ya Pili inajumuisha vitabu vya Mwanzo, Kutoka, Walawi na Wagalatia. Marko siku 8 Mangu huu rahisi utakuongoza ndani ya kitabu cha Injili iliyo andikwa na Marko kuanzia mwanzo mpaka mwisho.