Posted on 2022-02-25 by Mipango ya usomaji – Machi 2022 2 Wakorintho wiki 1 Mpango huu rahisi uta kuchukua ndani ya kitabu cha 2 Wakorintho na ni ya muhimu kwa mafundisho ya upekee ama ya kundi. Tusome Biblia Pamoja (Machi) siku 31 Sehemu ya 3 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia yote pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge nawe kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya kazi vyema na Biblia sikilizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kila siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano la Kale na Agano Jipya, pamoja na Zaburi ikiwa imetawanyika kotekote. Sehemu ya 3 inajumuisha vitabu vya Hesabu, Methali, Warumi na Waebrania.