Posted on 2020-06-012021-10-11Mipango ya usomaji – Juni 2020 1 Wakorintho siku 8 Mpango huu rahisi utakuchukua ndani ya kitabu cha 1 Wakorintho na itakua ya muhimu kwa mafundisho ya upekee ama ya kundi. Hekima Kamilifu: Safari ya Siku 7 ya akina Baba siku 7 Inashangaza kiasi ambacho baba zetu wanatufinyanga. Hakuna mtu anayeepuka nguvu na mvuto wa baba yao wa kidunia. Na kwa sababu wanaume wengi wanahisi kuwa hawako tayari kuwa baba, ni muhimu kutafuta mwongozo – kwenye Maandiko na kutoka kwa baba wengine. Hekima Kamilifu ni safari kuelekea hekima na busara kwa kina baba, inayohusisha kanuni na hekima kutoka kwenye Maandiko pamoja na uzoefu wa baba mwenye umri mkubwa na hekima zaidi ambaye amejifunza kutokana na makosa yake. Ngumu na Lisa Bevere siku 6 Ukweli ni nini? Wanadamu wameanza kuamini uongo kuwa ukweli ni mto, unaopwa na kutiririka na upitaji wa wakati. Lakini ukweli si mto—ni jiwe. Na katika bahari inayochacha ya maoni, mpango huu utakusaidia kutia nanga ya moyo wako—kukupa mwelekeo katika ulimwengu unaozurura.
Posted on 2020-05-012021-10-11Mipango ya usomaji – Mei 2020 Hujaachwa: Kupata uhuru kama watoto wa Baba halisi siku 5 Louie Giglio, Mchungaji na Mwanzilishi wa Passion Movement, anashiriki nasi mpango huu wa siku 5 kuelewa sifa za Mungu katika kubadili maisha – kama baba kamili anayetaka utembee katika uhuru kama mtoto wake. Mpango wa Mungu katika maisha yako siku 6 Je, nini mpango wa Mungu juu ya maisha yako? Ni maswali ya kawaida tuliyonayo wote kama wafuasi wa Kristo. Ila kama tukiwa waaminifu, wazo la mpango wa Mungu katika maisha yetu linaweza kuwa gumu kwetu. Katika siku hizi 6 za mpango wa kujisomea Biblia, tutajifunza jinsi mpango wa Mungu usivyo mgumu kama tunavyoweza kufikiri, ila ni mwema kuliko tunavyoweza kufikiria Mambo 7 ambayo Biblia inasema kuhusu Uzazi siku 7 Kulea watoto ni kazi kubwa, hata katika mazingira bora. Katika mpango huu wa ibada wa siku saba, wazazi wa ulimwengu halisi -ambao pia wametokea kuwa wafanyakazi wa YouVersion – wanatushirikisha jinsi wanavyotumia kanuni za neno la Mungu katika eneo hili muhimu katika maisha yao. Kila siku ya ibada hii inajumuisha taswira ya mstari unaoweza kuutumia kukusaidia kushirikia safari yako mwenyewe. Warumi siku 8 Mpango huu utakupeleka ndani ya kitabu cha Waroma na niya muhimu kwa mafundisho ya upekee ama ya kundi.
Posted on 2020-04-012021-10-11Mipango ya usomaji – Aprili 2020 Kwa nini Pasaka? siku 5 Pasaka ina umuhimu gani? Mbona kuna shauku sana kuhusu mtu aliyezaliwa miaka 2,000 iliyopita? Mbona watu wengi wanachangamka kuhusu Yesu? Kwa nini tunamhitaji? Kwa nini alikuja? Kwa nini alikufa? Kwa nini mtu asumbuke kujua haya? Katika mpango huu wa siku tano, Nicky Gumbel anatoa majibu ya kuvutia kwa maswali hayo. Yesu: Bendera Wetu wa Ushindi siku 7 Tunapo sherehekea Pasaka, tunasherehekea ushindi mkuu katika historia. Kupitia kifo cha Yesu na kufufuka, alishinda nguvu ya dhambi na kaburi, na athari zake zote, na alichagua kushiriki ushindi huo nasi. Pasaka hii, hebu tuangalie baadhi ya ngome alizozishinda, angalia vita alivyovipiga kwa ajili yetu, na umsifu kama bendera ya ushindi wetu. Story ya Pasaka siku 7 Jinsi gani unaweza kutumia wiki ya mwisho ya maisha yako akijua kwamba kwa mara ya mwisho wako? Wiki iliyopita Yesu alipokuwa duniani katika umbo la kibinadamu ikajaa wakati kukumbukwa, unabii kutimia, sala karibu, majadiliano ya kina, vitendo mfano, na matukio ya ulimwengu-kubadilisha. Imeundwa ili kuanza Jumatatu mbele ya Pasaka, kila siku ya mpango huu kusoma anatembea wewe kwa njia sura kutoka Injili nne kwamba kuwaambia hadithi ya wiki hii Mtakatifu. Yohana siku 10 Mpango huu rahisi utakuongoza kupitia njia ya Injili kulingana na Yohana kuanzia mwanzo hadi mwisho
Posted on 2020-03-012021-10-11Mipango ya usomaji – Machi 2020 Kwa pamoja: Kutafuta maisha pamoja siku 7 Unapofikia umri wa miaka 18, unaanza kuona kwamba unahitaji kupanga maisha yako. Itakuwaje usipofanya hivyo? Itakuwa kama ulipofikiria utakuwa sipo ulipo sasa? Hauko peke yako. Hebu tuangalie swali kuu la maisha yetu pamoja katika mpango huu wa Biblia wa siku 7 kwa pamoja, mafunzo ya vijana kutoka Life. Church. Safari ya Agano Jipya kwa Siku 60 siku 60 Mpango huu wa kusoma Biblia utawaongoza kupitia Agano Jipya katika siku 60. Vitabu vingi vitawajulisha, lakini Biblia ina uwezo wa kukugeuza. Soma tu uchaguzi wa kila siku na utastaajabishwa na uwezo, ufahamu na mabadiliko ambayo yatatokea katika maisha yako. Marko siku 8 Mangu huu rahisi utakuongoza ndani ya kitabu cha Injili iliyo andikwa na Marko kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Kutaka siku 7 Katika siku hizi 7 za kusoma na kujifunza, Beth Moore anatumia maswali kutoka katika Maandiko Matakatifu ili kukuongoza kwenye uhusiano wa ndani zaidi na Yeye anayekujua vizuri. Alama za uandishi zilizopotoka mwisho wa sentensi zinaonyesha udadisi, hamu au labda wasiwasi. Swali ni mwaliko toka katika hali hatarishi hadi ukaribu wa ndani zaidi. Biblia haiachi ukaribisho huo. Mara kwa mara tunaona watu wa Mungu wakimuuliza Muumbaji wao maswali. Na pia tunamwona Mungu Muumbaji akiuliza maswali kwa viumbe wake. Changamoto ni kupokea mwaliko. Jifunze kuchimba ndani ya Neno la Mungu, kujibu maswali ya Mungu, na kuleta maswali mbele Zake. Ruhusu alama za uandishi zilizopotoka ziwe ramani ya kusogeza uhusiano wako na Baba yako kuwa wa ukaribu zaidi.
Posted on 2020-02-012021-10-11Mipango ya usomaji – Februari 2020 Bila Utulivu siku 3 “Mioyo yetu haina utulivu mpaka ipate ulivu kwako.” Haijawahi kutokea kuwa wengi wetu tukakosa utulivu Agustine alielezea kwa hii sentesi maarufu. Lakini suluhisho kwa kukosa utulivu wa kweli kwetu ni nini? Huu mpango wa siku tatu utakuonesha, suluhisho kwa sehemu katika kuona vitendo vya kale vya sabato kwa lenzi tofauti ya “wewe” — Yesu ndie mwanzo wa amani. Mwongozo wa KiMungu siku 7 Kila siku tunafanya maamuzi ambayo yana unda hadithi ya maisha yetu. Maisha yako yangekuwaje kama ungekuwa bingwa wa kufanya maamuzi? Kwenye Mpango wa Biblia wa Mwongozo wa kimungu, mwandishi mzuri wa New York Times na Mchungaji Kiongozi, Craig Groeschel, anakutia moyo na kanuni saba kutoka kwenye kitabu chake cha Mwongozo wa Kimungu ili kukusaidia kupata busara ya Mungu kwa maamuzi yako kila siku. Gundua mwongozo wa kiroho unaohitaji ili kuishi hadithi ya maisha ya kumheshimu Mungu utakayopenda kuhadithia. Maombi siku 21 Kujifunza namns ya kuomba vizuri, kutoka kwa maombi ya mwaminifi pia na maneno ya Yesu Mwenyewe. Kupata faraja ya kuendelea kuomba Mungu kila siku, pamoja na kudumu na uvumilivu. Chunguza mifano tupu, maombi ya uhaki wa mwenyewe, ikipimwa na maombi ya kweli ya walio na moyo safi. Omba bila kuacha. Siku 40 ya kifungo siku 47 Muda wa kifungo inakuaka muda wa kufikiria kwa yale ambayo Kristo alitenda juu yetu msalabani. Zawadi hii ya kifahari tunaweza ifikiria miaka baada ya miaka, na itatuacha muda wote na mshangao na furaha. Kupita mpango huu, utapiti ndani ya injili muda baada ya muda, tuki tazama hatua za Yesu kwa wiki yake ya mwisho ya huduma duniani. Mpango huu ni siku 47 ya urefu, ila siku ya Jumapili saba ni siku za pumuziko kulingana na hasili.