Posted on 2022-07-26 by Mipango ya usomaji – Agosti 2022 Tusome Biblia Pamoja (Agosti) siku 31 Sehemu ya 8 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia nzima pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya vyema na Biblia sikizi—sikiliza chini ya dakika 20 kila siku. Kila sehemu inajumuisha sura za Agano Jipya na Agano la Kale, na Zaburi ikiwa imetawanyika kote. Sehemu ya 8 inajumuisha kitabu cha Mambo ya Nyakati ya Kwanza na ya Pili, Wathesalonike wa kwanza na Pili na Ezra. Ushindi juu ya Kifo siku 7 Tunaambiwa kila mara, “Ni sehemu nyingine ya maisha tu,” lakini misemo inayorudiwarudiwa haiondoi uchungu wa kupoteza mpendwa. Jifunze kumkimbilia Mungu unapokumbwa na mojawapo wa changamoto kuu zaidi maishani. Bidii wiki 1 Jifunze jinsi Bibilia inavyo sema kuhusu ujasiri na kujiamini. “Bidii” mpango wa usomaji unaimarisha waamini pamoja na kumbukumbu ya jinsi walivyo ndani ya Kristo pia ndani ya ufalme wa Mungu. Wakati ambapo tukua wa Mungu, tuna uhuru ya ku msogelea mara moja. Soma tena — ama kwa mara ya kwanza — uhakika kama nafasi yako ndani ya jamaa ya Mungu imehakikishwa.